Fahamu jinsi mapenzi ya Robert Mugabe na mkewe Grace Mugabe, yalivyoitikisa Zimbabwe wakati wa uhai wake - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fahamu jinsi mapenzi ya Robert Mugabe na mkewe Grace Mugabe, yalivyoitikisa Zimbabwe wakati wa uhai wake

Katika Umri wake mkubwa wengi walidhania kwamba aliyekuwa rais wa zamani wa Zimbabwe Robert Mugabe angekuwa akikabiliwa na upungufu wa fahamu, lakini kama mvinyo, alikuwa akionekana kuimarika kila uchao.  Uhusiano wa kimapenzi kati yake na mkewe Grace Marufu ulianza wakati alipokuwa akifanya kazi kama mpiga chapa katika ikulu ya rais ya Zimbabwe .Wawili hao walianza kuonana kisiri wakati Mugabe alipokuwa na mkewe wa kwanza Sally ambaye alikuwa akiugua, tofauti ya umri wao ikiwa miaka 40.


‘Alikuja kwangu na kuanza kuniulizia kuhusu familia yangu”, alisema Grace Mugabe katika mahojiano kuhusu walivyojuana na kiongozi huyo miaka ya 80.


”Nilimuona kama babaangu. Sikudhania kwamba atanitazama na kuniambia nampenda huyu msichana, sikutarajia hata kidogo”, aliongezea bi Grace akizungumza na BBC.

Ruka ujumbe wa Facebook wa Grace Mugabe

Mwisho wa ujumbe wa Facebook wa Grace Mugabe


Ijapokuwa bado alikuwa na mkewe wa kwanza Mugabe hakuweza kuzuia mapenzi tele ya Grace, alisema ... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More