Fahamu Mambo 6 vya kushangaza kuhusu Usawa wa Kijinsia - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fahamu Mambo 6 vya kushangaza kuhusu Usawa wa Kijinsia
Tukiwa tunaendelea na mwezi wa siku ya wanawake duniani, tulishuhudia matukio mbalimbali hapa nchini na nje ya nchi katika kusherekea siku ya wanawake kimataifa, Tarehe 8 Machi 2019. 

Duniani kote, mafanikio ya wanawake yanasherehekewa Siku ya Kimataifa ya Wanawake, ambayo ilianza mnamo mwaka 1911. Lakini siku hii pia inaonyesha kazi ambayo inabaki kufanyika ili kufikia usawa wa kijinsia.
Kauli mbiu  ya mwaka huu ni "Fikra kufikia usawa wa Kijinsia Kwa Maendeleo Endelevu" - hii ni dhairi kwamba dunia yenye usawa wa kijinsia hufaidi kila mtu, kiuchumi na kijamii. Ni jukumu la kila mtu, wanaume  kwa wanawake, kusimamia usawa wa kijinsia.
Yafuatayo ni mambo 6 ya kushangaza kuhusu usawa wa kijinsia;
1. Wanawake zaidi ya asilimia 47% wana hati-hati ya kupata ajali mbaya sana kwenye gari kwa sababu vipengele vya usalama vimeundwa kwa wanaume.
Katika utafiti  wa 2011 wa waathirika zaidi ya 45,000 waliofariki zaidi ya miaka 11, watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Virginia walipata madereva wanawake wa... Continue reading ->

Source: Mwanaharakati MzalendoRead More