Fahamu michezo mitano ambayo huenda hujawahi kuisikia  - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fahamu michezo mitano ambayo huenda hujawahi kuisikia 

Kunamichezo mingi katika ulimwengu huu, ipo unayo ijua na mengine huwanda uifahamu kabisa na hii ni baadhi tu inayo kuja kwa kasi na kujiongezea mashabiki wengi duniani kote.Chess Boxing huu ni mchezo wa masumbwi unao changanyika na mwingine ndani yake unaitwa Chesse, ukiungananisha ndipo unapopata Chesse Boxing.Mabondia hupigana raundi 11 ulingoni huku katika mizunguko yote hiyo hupata nafasi ya dakika tatu kupigana na tatu ya kucheza Chesse hambapo hutumia kete za rangi mbili tofauti.


Mechi kubwa kupata kutokea ilifanyika Berlin mwaka 2003 na toka hapo dunia ilishindwa kuamini kwa kile kilichotokea na watu kuanza kuufatilia kwa karibu mchezo huu.Kwa sasa Chess Boxing umekuwa mchezo rasmi India, Ujerumani, Uingereza, Urusi na baadhi ya nchi huku ukizidi kujiongezea mashabiki.


Wife Carrying ni mchezo ambao umeanzishwa huko Finland sasa kujizoelea umaarufu sehemu mbalimbali duniani kwa sasa.Mchezo huu wa Wife Carrying huchezwa pale mume anapo mbeba mkewe na kukimbia naye umbali... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More