FAHAMU UNDANI WA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FAHAMU UNDANI WA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI

Washiriki wakifuatilia semina kwa umakini.
Katika kuendelea kusimamia haki na usawa kwa watoto wakike na makundi yaliyopo pembezoni, TGNP Mtandao kupitia semina zake za Jinsia na Maendeleo(GDSS) wanakukaribisha mkazi wa jiji la Dar es salaam na maeneo ya karibu katika Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani pamoja na miaka 25 ya shirika hilo.
Maadhimisho hayo yanayofanyika kila mwaka duniani kote kila ifikapo tarehe 11 ya mwezi oktoba yenye lengo la kumpongeza na kuangalia changamoto mbalimbali zinazomfanya mtoto wa kike kushindwa kufikia malengo yake na kuzitafutia ufumbuzi na kwa upande wa GDSS watafanya maadhimisho hayo siku ya tarehe 10 ya mwezi huu wa kumi.Muwezeshaji wa Semina Bw. Busungu Mathias akitoa ufafanuzi wa jambo katika semina ya GDSS wiki hii.
Akiongea katika semina ya GDSS mapema wiki hii Bw. Busungu Mathias kutoka TGNP Mtandao alisema kuwa shirika hilo linatarajia kufanya maadhimisho ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwake na kuunganishwa na maadhimisho makubwa ya siku y... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More