Fahamu Wasanii Chipukizi Wanaokuja Vizuri Bongo Fleva. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fahamu Wasanii Chipukizi Wanaokuja Vizuri Bongo Fleva.

Kila kukicha kumekuwa na wimbo la wasanii wapya wa muziki wa kizazi kipya mabo wanaibuka na kufanya vizuri katika muziki wa Tanzania.Wapo waliopo chini ya uongizo wao lakini wengi wanatoka katika jumba la sanaa na vipaji la THT.


Hata ukiangalia katika mitandao kwa sasa huweiz kukosa majina na nyimbo mpya kutoka kwao na upande mmoja au mwingine wamekuwa wakifanya vizuri na nyimbo zao zimekuwa zikipenda sana.hawa ni pamoja na ;-anaitwa Ndelah na wimbo wake mpya unaitwa NIACHE.Magic na wimbo wake mpya wa kichwa kinaroll


 kareen kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa lawama.


anaitwa marioJolie , wimbo ulimtambulisha na kufanya vizuri ni ule wa bado mapema.Anaitwa Melody na amekuwa akisfika pia kwa kuandika mashairi ya nyimbo za wasanii wengine, wimbo wake wa namwaga mboga aliomshirikisha Nandy ulifanya vizuri.Anaitwa Benson na kwa sasa anafanya vizuri na wimbo wa hauzimi.


 


The post Fahamu Wasanii Chipukizi Wanaokuja Vizuri Bongo Fleva. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More