Fainali ya NBA: Golden State Warriors yaendelea kuinyanyasa Cavaliers - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fainali ya NBA: Golden State Warriors yaendelea kuinyanyasa Cavaliers

Golden State Warriors imeendelea kuinyanyasa Cleveland Cavaliers katika fainali ya tatu ya mchezo wa kikapu wa NBA.Katika mchezo huo uliochezwa alfajiri ya kuamkia leo katika uwanja wa Quicken Loans Arena, Golden wameshinda kwa jumla ya vikapu 110 dhidi ya 102 vya Cleverland.


Mchezaji Kevin Durant amefanikiwa kuwa nyota wa fainali hiyo baada ya kufanikiwa kushinda pointi 43 huku kwa upande wa Cavaliers, LeBron James ndio alikuwa nyota kwa kupata alama 33.


Fainali nyingine inatarajiwa kupigwa Juni 9 ya mwaka huu katika uwanja wa Quicken Loans Arena. Mpaka sasa Warriors wamefanikiwa kushinda michezo mitatu mfululizo ya fainali huku Cavaliers wakiwa hawajashinda hata mchezo mmoja.

Loading...Jiunge na Bongo5.com sasa
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

The post Fainali ya NBA: Golden State Warriors yaendelea kuinyanyasa C... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More