Faiza Ally Azua Mjadala Baada ya Kuweka Picha Akiwa Ananyonyesha. - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Faiza Ally Azua Mjadala Baada ya Kuweka Picha Akiwa Ananyonyesha.

Mwanadada Faiza ally  siku ya jana aliacha  watu hoi baada ya kuweka picha akiwa anamnyonyesha mtoto wake wa kiume mdogo huku akiwa ameweka picha ya sehemu yake ya maziwa wazi huku mtoto huyo akiwa ananyonya.


Hii sio mara ya kwanza kwa msanii faiza kufanya hivyo kwa sababu alishawahi kuweka picha kiwa leba anajifungua na kusababisha watu wengi kulalamikia picha hiyo huku ikionekana kama ni udhalilishaji kwa wakina mama kama yeye.


Watu wengi wali-react kupitia picha hiyo huku wakimtukana sana kwa kujikosea heshima yeye mwenyewe na wanawake wenzie kwa sababu maswala kama hayo yalipaswa kuwa si ya kuonyesha mpaka katika mitandao ya kijamii kama anavyotaka kufanya yeye.


 


 


The post Faiza Ally Azua Mjadala Baada ya Kuweka Picha Akiwa Ananyonyesha. appeared first on Ghafla!Tanzania.... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More