Familia: Ukifichua MO alipo unavuta bilioni 1 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Familia: Ukifichua MO alipo unavuta bilioni 1

Tukio hilo limewachanganya Wanasimba na familia ya mfanyabiashara huyo mashuhuri nchini, kutokana na sintofahamu juu ya mahali alipo ama lengo la watekaji, japo Serikali na vyombo vyake vya dola vinaendelea kufanya yao ili kuhakikisha anapatikana salama.


Source: MwanaspotiRead More