Familia yatangaza mabadiliko ya ratiba ya mazishi ya Mzee Majuto (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Familia yatangaza mabadiliko ya ratiba ya mazishi ya Mzee Majuto (+video)

Ndugu wa marehemu wa Mzee Majuto wametangaza mabadiliko ya ratiba ya mazishi ya nguli huyo wa uchekeshaji nchini Tanzania.Kwenye mabadiliko hayo ni kwamba mwili wake utaagwa kwenye ukumbi wa Karimjee na sio katika viwanja vya Gym Khana kama ilivyotangazwa awali.


Mwili wa Mzee Majuto baada ya kuagwa hapo majira ya saa 10 utasafirishwa mkoani Tanga kwa ajili ya mazishi siku ya Kesho Ijumaa Agosti 10, 2018.


The post Familia yatangaza mabadiliko ya ratiba ya mazishi ya Mzee Majuto (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More