FAO Yaahidi Ushirikiano Zaidi na Serikali - Issa Michuzi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FAO Yaahidi Ushirikiano Zaidi na Serikali

Shirika la Umoja wa Mataifa la Chakula na Kilimo (FAO) limeahidi kuendeleza ushirikiano na Serikali ya Tanzania katika kuiinua sekta ya kilimo nchini. Hayo yamesemwa na Ndugu muwakilishi wa Shirika hilo nchini Ndugu Fred Kafeero alipokutana na Naibu Waziri wa Kilimo, Innocent Bashungwa katika ofisi za FAO jijini Dar es Salaam.
Katika kikao hicho Ndugu Kafeero alieleza namna ambavyo shirika hilo limekuwa mstari wa mbele kushirikiana na serikali katika kutunga sera na kuandaa mikakati yenye lengo la kuhakikisha Tanzania inasonga mbele katika kilimo. Amesema FAO kwa miaka ya karibuni imefanya kazi kwa ukaribu na Shirika la Takwimu Tanzania (NBS) kwa kulijengea uwezo wa ndani unaoisaidia pia serikali katika ufuatiliaji wa bei ya mazao nchini.
Nae Naibu Waziri wa Kilimo Innocent Bashungwa alimueleza muwakilishi huyo mpango wa Serikali ya awamu ya tano wa kuorodhesha wakulima wote nchini ili kuweza kupanga vizuri kuhakikisha kila mkulima anapata huduma muhimu zitakazomsaidia toka hatua za uand... Continue reading ->


Source: Issa MichuziRead More