FASTJET YASHEREHEKEA MIAKA SITA YA KUTOA HUDUMA KWA JAMII - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FASTJET YASHEREHEKEA MIAKA SITA YA KUTOA HUDUMA KWA JAMII

Meneja Mawasiliano wa shirika la Ndege la Fastjet, Lucy Mbogoro (mwenye nguo ya manjano) na Rubani wa shirika hilo wakiwa na Madaktari wa Chama cha Afya ya Meno na Kinywa Tanzania TDA kuelekea Mkoa Mara kutoka Dar ss Salaam kutoa huduma ya meno na kinywa bure kwa wagonjwa waliopo Butiama. Shirika la Fastjet lilitoa huduma ya usafiri kwa madaktari hao bure kwa siku tano ikiwa ni sehemu ya sherehe ya kutimiza miaka ya sita ya huduma za Fastjet Tanzania---Shirika la ndege la Watanzania wote na mshindi wa Tuzo mbalimbali inafuraha kudhamini usafiri wa ndege wa muda ya miaka minne sasa kwa Chama cha watoa huduma ya kinywa na meno Tanzania (TDA) na zaidi ya madaktari 20 pamoja na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamiii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu kwa ajili ya kutoa huduma ya afya ya meno kwa mamia ya watu Mjini Butiama wakati wa kongamano ya 33 la wanasayansi wa huduma za afya ya meno.
‘Kama sehemu ya utowaji wa huduma kwa jamii, Fastjet inafuraha kubwa kuweza kutoa marejesh... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More