FATHER’S DAY: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo akiwemo Diamond Platnumz walivyosherehekea siku ya Baba Duniani (+picha) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FATHER’S DAY: Hivi ndivyo mastaa wa Bongo akiwemo Diamond Platnumz walivyosherehekea siku ya Baba Duniani (+picha)

Leo Juni 16 ni siku ya Baba Duniani, ambapo hapa Tanzania mastaa kibao wamewakumbuka baba zao kwa kuwaandikia jumbe zilizojaa maneno ya yenye kheri, na wengine wakisherehekea na familia zao.


Pitia picha na jumbe mbalimbali za mastaa wa Tanzania kuona namna walivyosherehekea siku hii muhimu kwa akina baba.


View this post on InstagramHakika Dady Ur The Best Umeweza Kutuunganisha Wasanii Wa Filamu Na Muziki Ambao Ni Mashabiki Wa Yanga Kuhakikisha Tunaisaidia Timu Yetu Ya Yanga Haikuwa Rahisi Muda Mwingine Tulikuwa Tunakukwaza Tunakuletea Pozi Lakini Haukukata Tamaa Uliendelea Kutuvumilia Na Kutukusanya Ili Tusaidie Kufanikisha Tamasha Kubwa La KUBWA KULIKO Ambalo Limefanyika Kwa Mafanikio Makubwa Sana, Umoja Uliotujengea Naamini Utadumu Na Utatupelekea Kufanikisha Na Mambo Yetu Mengine Ya Kisanaa, Mungu Akubariki Sana Baba Yangu @Jimmymafufu Hakika Wewe Ni Zaidi Ya Binadamu Huku Duniani. #DAIMAMBELENYUMAMWIKO #YANGAWOYEEEEEEEEE @jimmymafufu @jimmymafu... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More