FBI ilishangazwa na hatua ya Trump kumfuta kazi mkurugenzi wa FBI James Comey - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FBI ilishangazwa na hatua ya Trump kumfuta kazi mkurugenzi wa FBI James Comey

Ikulu ya Marekani imelaani ripoti ya gazeti la New York Times kwamba shirika la ujasusi la FBI lilianzisha uchunguzi kubaini ikiwa Trump alikuwa akifanyia Urusi kazi kisiri.


Source: BBC SwahiliRead More