FELIX SIMBU KUSHIRIKI MBIO ZA NEW YORK MARATHON - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FELIX SIMBU KUSHIRIKI MBIO ZA NEW YORK MARATHON

Felix Simbu ni Mtanzaia anaekimbia mbio ndefu Simbu ameshika tafasi ya tano kwenye mashidano Rio Olympic 2017, na akashika nafasi ya 3, IAAF World Championships London 2017, yupo New York na yupo tayari kwa kuipeperusha bendera ya Tanzania katika mashindani hayo makubwa duniani. Simbu ni mategemeo ya Watanzania kwa sasa katika anga za kimataifa kwenye nyanja za mbio ndefu. 
Kwahiyo macho na masikio ya Watanzaia ni kwake jumapili hii wakiona na kusikia ametutoa kimasomaso kwa kushika nafasi ya juu na kuitangaza vyema bendera ya Tanzania katika mashindano haya yanayojulikana duniani kote kama New York Marathon na kushikirisha wakimbiaji zaidi 50,000 kutoka duniani kote. Hapa Simbu akisubiri kufanyia massage katika hotel aliyofikia ya Hilton New York City


Hapa akipata Simbu akipata ukodak na Charles, Charles nae anashirikia Mashindano haya kila mwaka kwahiyo watakuwa wote wakiitangaza vyema bendera ya Tanzania.Mchua misuri wake akiwa kazini na yeye akisubiri zamu yake.Hapa akiingia Hotel a... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More