Fella aeleza jinsi avyoporwa wasanii ‘kuna watu walimwambia Diamond atufukuze kazi’ - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fella aeleza jinsi avyoporwa wasanii ‘kuna watu walimwambia Diamond atufukuze kazi’

Mmoja kati ya wakurugenzi wa WCB, Mkubwa Fella amedai Diamond alifuatwa na watu nne ambao alitaka raisi huyo wa WCB, awafukuze mameneja watatu wa label hiyo, Mkubwa Fella, Sallam pamoja na Babu Tale.The post Fella aeleza jinsi avyoporwa wasanii ‘kuna watu walimwambia Diamond atufukuze kazi’ appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More