Ferooz kunogesha pambano la Francis Cheka uwanja wa Kines (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ferooz kunogesha pambano la Francis Cheka uwanja wa Kines (+video)

Msanii wa muziki Bongo, Ferooz ameahidi kutoa burudani kwenye pambano la ngumi kati ya bondia, Francis Cheka dhidi ya Jacob Maganga litakalo pigwa tarehe 16 ya mwezi huu kwenye uwanja wa Kines uliyopo Manzese.The post Ferooz kunogesha pambano la Francis Cheka uwanja wa Kines (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More