Fiat: Wafanyikazi wagoma baada ya mmiliki wa kampuni hiyo kulipa €112m kumnunua Ronaldo - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fiat: Wafanyikazi wagoma baada ya mmiliki wa kampuni hiyo kulipa €112m kumnunua Ronaldo

Wafanyikazi katika kampuni ya kuunda magari ya Fiat Chrysler nchini Itali wanatarajiwa kugoma baada ya mwekezaji wake mkuu kuamua kulipa €112m (£99.2m) kumsajili Cristiano Ronaldo katika klabu ya Juventus


Source: BBC SwahiliRead More