FID Q aeleza mazito aliyoambiwa kuhusu marehemu Pancho Latino ‘alikataa mwili wake kuagwa Leaders’ (+video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FID Q aeleza mazito aliyoambiwa kuhusu marehemu Pancho Latino ‘alikataa mwili wake kuagwa Leaders’ (+video)

Rapper FID Q ambaye ni mwanakamati wa mazishi ya marehemu Pancho Latino, amefunguka mambo mazito ambayo ameambiwa na ndugu wa marehemu pamoja na Pancho Latino kabla ya umauti kumkuta siku ya jana.FId Q amesema kuwa ndugu wa marehemu wamemwambia Pancho alikataa katu katu mwili wake kuagwa katika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam.


The post FID Q aeleza mazito aliyoambiwa kuhusu marehemu Pancho Latino ‘alikataa mwili wake kuagwa Leaders’ (+video) appeared first on Bongo5.com.


Source: Bongo5Read More