Fid Q Awaomba Radhi WCB Baada Ya Mgogoro Wa Wasafi Festival na Fiesta - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fid Q Awaomba Radhi WCB Baada Ya Mgogoro Wa Wasafi Festival na Fiesta

Mwanamuziki wa hop hop nchini Fid Q ameibuka na kumuandikia ujumbe wa kumuomba radhi meneja wa Diamond Platnumz, Babu Tale mara Baada ya mgogoro wao.


Sakata hilo kati ya Fid Q na Wasafi lilianza maraa Baada ya Fid Q kuamua kufanya shoo kwenye Fiesta ya Clouds na kukataa kufanya shoo Wasafi Festival siku ya jumamosi tarehe 24.


Baada ya kufikia uamuzi wa kufanya show Fiesta alifanya tangazo la Tigo Fiesta ambalo linasambaa mtandaoni akitafsirikiwa kwamba alitupa dongo kwa Wasafi Festival.


Kupitia video hiyo, Fid alisikika akisema “Yani nyinyi mnataka kusubiri watu wafanye halafu na nyie mfanye, kawambie acheni upumbavu ni moja kubwa” kauli ambayo ilitafsiriwa ni dongo kwa kwambi hiyo.


Baada ya sintofahamu hiyo Fid q aliamua kutoa kauli yake huku akiomba radhi wa WCB kama walimtafsiri vibaya kwani hakuwa na nia ya kuwarushia vidongo.PART 1: Nimeonelea si vibaya nikifungua hiki kigazeti changu na sentensi hii—-.> “ Keki ya taifa ni kubwa sana na ina vipande vingi vya kuwatosha w... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More