Fid Q hajapoteza kitu buana! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fid Q hajapoteza kitu buana!

LICHA ya mashabiki wa muziki kupata burudani toka vikundi vya Wamwiduka, S Kide na Damian Solo waliopiga muziki wao laivu, mkali wa hip hop Fid Q naye alikonga nyoyo za waliojitokeza kwenye Tamasha la 16 la Sauti za Busara 2019, linalomalizika jana Jumapili visiwani hapa.


Source: MwanaspotiRead More