Fifa kumpiga msasa mwamuzi Mtanzania - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fifa kumpiga msasa mwamuzi Mtanzania

Dar es Salaam. Mwamuzi msaidizi Soud Lila, ataiwakilisha Tanzania katika kozi maalum ya kimataifa ya waamuzi wa soka itakayofanyika Uganda kuanzia Septemba 14 hadi Septemba 18.


Source: MwanaspotiRead More