Filamu za Bongo Movies Mbovu :-Dr Cheni - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Filamu za Bongo Movies Mbovu :-Dr Cheni

Mchezaji wa filamu wa bongo movies wa muda mrefu, dr cheni amefunguka na kusema kuwa kwamwe hawezi kujutia kauli yake ya kuwa wasanii wa bongo movieshawazalishi muvi nzuri kwa sasa kama zamani.akiongea na Clouds media mapema leo Dr cheni anasema kuwa kamwe hawezi kujutia kusema kauli hiyo kwa sababu ina ukweli ndani yake.


Dr Cheni aliwahi kusikika akisema kauli hiyo na baada ya hapo wasanii waliibuka na kusema kuwa amewavunja sana moyo, lakini cha ajabu ni kwamba hata baada ya kuulizwa leo Dr cheni anasema kuwa hajutii kusema hivyo zaidi ya kuwataka wasanii kujifunza kutokana  na kauili yake.


Dr cheni kwa kuendelea kusiisistiza kauli ya kuwa hatokaa aangalie filamu za bongo , amewataka pia mashabiki kuacha kuziangalia mpaka pale watakapotengeneza zenye ubora.


.Anasema ‘mtitu alitakiwa alifanyie kazi hilomkwa sababu inawezekana ni kweli kuwa filamu za sasa hazina bora, angenihakikishia kuwa kuna filamu yake ina ubora wa kiasi gani na ndipo aweze kupinga kwa hoja,  hatuna haja ya kut... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More