FIRMINO ATOKEA BENCHI KUIFUGIA LA USHINDI LIVERPOOL IKIILAZA 3-2 PSG - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FIRMINO ATOKEA BENCHI KUIFUGIA LA USHINDI LIVERPOOL IKIILAZA 3-2 PSG

Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akishangilia na mshambuliaji wake, Mbrazil Roberto Firmino baada ya mechi kufuatia kutokea benchi na kuifungia timu hiyo bao la ushindi  dakika ya 90 na ushei ikiwalaza Paris Saint-Germain 3-2 katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Anfield usiku wa Jumanne. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Daniel Sturridge dakika ya 30 na James Milner kwa penalti dakika ya 36 kufuatia Georginio Wijnaldum kuchezewa rafu, wakati mabao ya PSG yamefungwa na Thomas Meunier dakika ya 40 na Kylian Mbappe dakika ya 83 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More