FKF yaipigia magoti serikali, yaomba milioni 83 - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FKF yaipigia magoti serikali, yaomba milioni 83

Kama Harambee Stars, itafanikiwa kuifunga Sierra Leone, jijini Nairobi, itakuwa imejikatia tiketi ya moja kwa moja ya kufuzu AFCON, kwa mara ya kwanza baada ya miaka 14 huku wao, Emerging Stars, wakitakiwa kuitandika Mauritius, kutinga raundi ya pili. Mshindi wa raundi ya pili atafuzu AFCON U23, ambayo pia itatumika kusaka tiketi ya kwenda michezo ya olimpiki mwaka 2020.


Source: MwanaspotiRead More