Fuata Kanuni Hizi Tatu Muhimu Kuhusu Fedha Na Hutakuwa Na Matatizo Ya Fedha Kwenye Maisha Yako. - Hisia za Mwananchi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fuata Kanuni Hizi Tatu Muhimu Kuhusu Fedha Na Hutakuwa Na Matatizo Ya Fedha Kwenye Maisha Yako.

Rafiki yangu mpendwa, Fedha ni kitu ambacho kila mtu anaweza kukiongelea awezavyo. Lakini pia ndiyo kitu ambacho watu wengi sana hawana elimu ya kutosha. Yaani utakuta mtu ana elimu kubwa sana kwenye mambo magumu kama sayansi na historia, lakini inapokuja kwenye fedha, hana tofauti na mtu ambaye hakuenda darasani kabisa. Hii ni kwa sababu hakujawahi... Continue Reading →


Source: Hisia za MwananchiRead More