FUATILIENI WAUZAJI WA PEMBEJEO FEKI - BRIG. JEN. (MST) MWANGELA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

FUATILIENI WAUZAJI WA PEMBEJEO FEKI - BRIG. JEN. (MST) MWANGELA

 Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela akizungumza na wadau wa Kahawa kanda ya Mbeya ambayo inajumuisha mikoa ya Songwe, Katavi, Rukwa na Mbeya mapema leo katika Ukumbi wa Khal Hall Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.Wadau wa Kahawa kanda ya Mbeya ambayo inajumuisha mikoa ya Songwe, Katavi, Rukwa na Mbeya mapema leo wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela (hayupo pichani) katika Ukumbi wa Khal Hall Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. (Mst) Nicodemus Mwangela amewaagiza wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Songwe kufanya ufuatiliaji wa wafanyabiashara wanaouza pembejeo feki za kilimo kwa wakulima.
Brig. Jen. (Mst) Mwangela ametoa agizo hilo mapema leo katika kikao cha wadau wa Kahawa kanda ya Mbeya ambayo inajumuisha mikoa ya Songwe, Katavi, Rukwa na Mbeya.
Amesema kitendo cha mkulima kununua pembejeo feki ni kumsababishia umasikini mkulima huyo jambo ambalo halikubaliki katika Mkoa wa Song... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More