Fuvu la Zinjanthropus kutowekwa hadharani - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Fuvu la Zinjanthropus kutowekwa hadharani

DAKTARI Hamis Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii amesitisha mpango wake wa kupeleka fuvu la mtu wa kale katika Makumbusho ya Olduvai, Ngorongoro kutokana na sababu za kisalama. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Dk. Kigwangalla ametoa kauli hiyo leo tarehe 14 Juni 2019, katika akaunti yake ya Twitter, ikiwa ni siku moja tangu Rais John ...


Source: MwanahalisiRead More