Gari la mbunge Chadema lashambuliwa kwa risasi Monduli - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gari la mbunge Chadema lashambuliwa kwa risasi Monduli

ANNA Gidarya, Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Manyara ameeleza kuwa, gari lake limeshambuliwa kwa risasi leo tarehe 16 Septemba 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Anna amesema, risasi hizi zimepiga kwenye matari yake ya gari na Sasa anaelekea katika Kituo cha Polisi cha Mto wa Mbu kutoa maelezo. Anaeleza kuwa, shambulizi hilo limetokea katika Kata ...


Source: MwanahalisiRead More