Gari litakaloziisha mzigo faini Mil 34, jela miaka mitatu - Mwanahalisi | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gari litakaloziisha mzigo faini Mil 34, jela miaka mitatu

SHERIA ya Udhibiti wa Uzito wa Magari ya Jumuiya ya Afrika Mashariki inatarajia kuanza kutumika nchini Januari 2019 huku ukomo wa adhabu kwa makosa ya usafirishaji utakuwa ni dola za Marekani 15,000 (zaidi ya Sh. 34 milioni). Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea). Hayo yamebainishwa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na ...


Source: MwanahalisiRead More