Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba - Mwanaharakati Mzalendo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gari ya tatu ya M-Pesa yakabidhiwa Arusha, bado magari saba


Arusha%2B1 Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega (katikati) akimkabidhi funguo za gari mshindi wa tatu wa gari aina ya Renault Kwid Mkomeni Ernest Mgonho (kulia) katika hafla ya kuwazawadia washindi wa M-Pesa kanda ya kaskazini baada ya kujishindia gari hilo katika bahati nasibu inayoendelea ya ‘Tumia M-Pesa ushinde gari’, kushoto ni mkuu wa Vodacom kanda ya Kaskazini Bigita Stephen.Arusha%2B2Mke na mjukuu wa Bwana Mgomho wakishuhudia akikabidhiwa gari lake aina ya Renault Kwid na  Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Richard Kwitega(kulia) katika hafla ya kuwazawadia washindi wa M-Pesa kanda ya kaskazini.Arusha%2B4Picha ya pamoja... Continue reading ->


Source: Mwanaharakati MzalendoRead More