Gaucho ang'aa Simba Queens ikitesa - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gaucho ang'aa Simba Queens ikitesa

MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa ya wanawake 'Twiga  Stars', Mwanahamisi Omary 'Gaucho' amegeuka kivutio kwa mashabiki wa Simba baada ya kuiongoza timu ya wanawake ya Simba 'Simba Queens' kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Sayari Queens.


Source: MwanaspotiRead More