Geita Gold yaongeza vita kurudi Ligi Kuu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Geita Gold yaongeza vita kurudi Ligi Kuu

KOCHA wa Geita Gold FC, Hassan Banyai amesema kuwa pointi nne walizokusanya katika mechi mbili za Ligi Daraja la Kwanza katika uwanja wao wa nyumbani zinawapa nguvu kuendelea kupambana kusaka ushindi zaidi na kufikia malengo.


Source: MwanaspotiRead More