GESI ASILIA MHIMILI UKUAJI WA VIWANDA - Kajunason | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

GESI ASILIA MHIMILI UKUAJI WA VIWANDA

Mkurugenzi Mtendaji kutoka Kiwanda cha Knauf ambacho ni kimoja wapo kati ya vinne viliyoingia makubaliano ya matumizi ya gesi asilia baada ya kukamilika ujenzi wa toleo na bomba akipata maelezo utekelezaji wa ujenzi.---Mahali popote duniani palipo na gesi asilia pamekuwepo na mageuzi makubwa ya ukuaji wa sekta ya viwanda na kukuza uchumi.lia ipo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha Jipsam cha Knauf Ndugu Georgios Zachopoulos aliyasema hayo wakati alipoungana katika ziara fuoi iliyofanywa na TPDC na Kampuni yake Tanzu ya Gesi (GASCO) kukagua maendelo ya ujenzi wa toleo jipya la gesi asilia katika Kijiji cha Mwanambaya kilichopo Mkuranga Mkoani Pwani.
Akiwa mmoja wa watendaji wakuu wa viwanda vinne ambavyo vimekamilisha taratibu zote za kuunganishwa na gesi asilia Ndugu Georgios amekiri kufurahishwa na kazi ambayo TPDC inaifanya ya kuhakikisha kuwa viwanda vilivyopo katika eneo la Mkuranga vinapata gesi asilia.
“Sisi kama Knauf tumefurahishwa sana na kazi zinazofanywa na TPDC hususan hii ya... Continue reading ->


Source: KajunasonRead More