Getayawkal Ayele: 'Nabii' aliyeshindwa kumfufua mfu akamatwa na polisi Ethiopia - BBC Swahili | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Getayawkal Ayele: 'Nabii' aliyeshindwa kumfufua mfu akamatwa na polisi Ethiopia

Maafisa wa polisi nchini Ethiopia wamemkamata kijana mmoja anayejiita 'nabii' kwa jina Getayawkal Ayele baada ya kushindwa kumfufua mfu aliyefariki siku nne zilizopita.


Source: BBC SwahiliRead More