Ghafla! Fei Toto amsahau Gadiel Michael - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ghafla! Fei Toto amsahau Gadiel Michael

SIKU chache baada ya beki wa kushoto, Gadiel Michael kutimkia Simba, kiungo wa Yanga Feisal Salum 'Fei Toto' amesema tayari wameshamsahau na sasa wanaangalia ni namna gani kikosi chao kitafanya vizuri msimu ujao.


Source: MwanaspotiRead More