Ghafla tu Pogba na Mourinho wamaliza bifu - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Ghafla tu Pogba na Mourinho wamaliza bifu

MAMBO kwisha. Jose Mourinho na Paul Pogba kila kitu kipo sawa unaambiwa, hakuna tena kukwidana mashati kama lisemwalo liko hivyo lilivyo. Wasimuliaji wa mambo ya ndani huko Manchester United wanasema hivi, Pogba alitoa mchango mkubwa wa mawazo ya kiufundi kuisaidia timu hiyo kubadili matokeo ya kufungwa na kisha kuwafunga Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu England Jumamosi iliyopita.


Source: MwanaspotiRead More