Gigy Money Adai Akipewa Nafasi Atawamaliza Ali Kiba na Hemed PHD - Ghafla TZ | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gigy Money Adai Akipewa Nafasi Atawamaliza Ali Kiba na Hemed PHD

Msanii wa Muziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money amefunguka na kudai kuwa endapo akiambiwa awagonge wanaume wowote ambao amewahi kuwa nao Kwenye Mahusiano basi atakuwa Ali Kiba na Hemed PHD na Rich Mavoko.


Gigy Money ambaye alianza kuongia Kwenye ulimwengu wa kisanaa kama Video vixen Mpaka sasa Msanii wa Bongo fleva amekiri Kuwahi kuwa Kwenye Mahusiano na wasanii wengi.


Gigy amekiri hapo nyuma kutokana na kufanya kazi za video na wasanii wengi basi pia ameshawahi kuwa nao Kwenye Mahusiano wengi sana na baadhi yao ni Rich Mavoko, Ali Kiba, Hemed PHD na wengineo.


Kwenye Interview moja aliyofanya hivi karibuni Gigy Money aliulizwa ni Ex gani wake staa ambaye leo hii akipewa ruhusa ya kumgonga na gari na kummaliza atamchagua nani?Ikitokea nimepewa pesa niwagonge wapenzi wangu wa zamani, nitaomba nipewe fuso kabisa tena nitawasaga haswa nikianza na Hemed PHD, Ali Kiba na Rich Mavoko maana waliniumiza sana”. 


The post Gigy Money Adai Akipewa Nafasi Atawamaliza Ali... Continue reading ->


Source: Ghafla TZRead More