Gigy Money afunguka “Bora kufanya kazi na Diamond kuliko Alikiba, alinitenga Kahama” (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gigy Money afunguka “Bora kufanya kazi na Diamond kuliko Alikiba, alinitenga Kahama” (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Gigy Money amefunguka mwanzo mwisho kuhusu kufanya kazi na wasanii wawili wakubwa nchini.Msanii huyo amefunguka kuhusu kufanya kazi na Diamond pia na Alikiba na kusema kuwa “Alikiba anakunja sana kuliko Diamond na siku wameenda kufanya wote show Kahama, Alikiba alimtenga back stage”The post Gigy Money afunguka “Bora kufanya kazi na Diamond kuliko Alikiba, alinitenga Kahama” (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More