Giniki aeleza alivyopata medali Uholanzi - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Giniki aeleza alivyopata medali Uholanzi

Giniki aliyekimbia dakika 27:37 na kumaliza mbio, alichuana vikali na Wakenya watano, Waganda wawili na Waholanzi 13 katika kundi la kwanza na kuibuka mshindi wa medali ya pili ya fedha kwenye mbio za kilomita 10 za Singelloop Utrecht.


Source: MwanaspotiRead More