Giroud ameanza kazi tayari akiwa Chelsea - Millard Ayo | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Giroud ameanza kazi tayari akiwa Chelsea

Tukiwa tunasubiria game ya UEFA Champions League kati ya Barcelona dhidi ya Chelsea, usiku wa February 16 Chelsea imecheza game yake ya FA Cup dhidi ya Hull City katika uwanja wao wa Stamford Bridge. Chelsea licha ya kuwa imekuwa haifanyi vizuri katika Ligi Kuu kwa baadhi ya mechi zao kiasi cha kuhesabiwa kuwa msimu huu […]


Source: Millard AyoRead More