Gmail sasa itakukumbusha kujibu jumbe ulizotumiwa - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gmail sasa itakukumbusha kujibu jumbe ulizotumiwa

Sio kila ujumbe unaotumiwa kwenye barua pepe (Gmail) unajibu mara tu baada ya kuisoma na kurudisha majibu si ndio? Sasa Gmail imeona kuna umuhimu wa kukukumbusha kurudisha majibu ya ujumbe smbso umetumiwa kwa njia ya barua pepe. Inawezekana ukaghafirika kujibu ujumbe fulani kwenye Gmail na hivyo muda/siku zikapita bila yule aliyekutumia kupata majibu ya kile alichokieleza kwenye barua [...]


The post Gmail sasa itakukumbusha kujibu jumbe ulizotumiwa appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More