GNABRY AFUNGA UJERUMANI YATOA SARE 2-2 NA ARGENTINA - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

GNABRY AFUNGA UJERUMANI YATOA SARE 2-2 NA ARGENTINA

Serge Gnabry akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani bao la kwanza dakika ya 15 katika sare ya 2-2 na Argentina usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao la pili la Ujerumani lilifungwa na Kai Havertz dakika ya 22, wakati mabao ya Argentina yamefungwa na Lucas Alario dakika ya 66 na Lucas Ocampos dakika ya 85 Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More