GOLDEN STATE WARRIORS MABINGWA NBA, KEVIN DURANT MVP - Bin Zubery | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

GOLDEN STATE WARRIORS MABINGWA NBA, KEVIN DURANT MVP

Mabingwa; Wachezaji wa Golden State Warriors wakiwa na taji lao NBA na Medali zao za Dhahabu baada ya ushindi wa pointi 108-85, dhidi ya Cleveland Cavaliers ambao unakuwa wa nne mfululizo katika fainali za Ligi ya Mpira wa Kikapu Marekani.
Stephen Curry amefunga pointi 37 wakati MVP Kevin Durant amefunga pointi 20 na tatu mara mbili Alfajiri ya leo. Nyota wa Cavs, LeBron James, ambaye anaweza kuwa amecheza mechi yake ya mwisho kwa Cleveland, ameumia mkono Continue reading ->


Source: Bin ZuberyRead More