GOOD NEWS: Mabasi ya mikoani kusafiri saa 24, Kangi Lugola adai jeshi la polisi halitishwi na majambazi (+Video) - Bongo5 | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

GOOD NEWS: Mabasi ya mikoani kusafiri saa 24, Kangi Lugola adai jeshi la polisi halitishwi na majambazi (+Video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola amepiga marufuku Makamanda wa Polisi kuzuia mabasi yanayofanya safari kati ya Jiji la Dar es Salaam na Mikoa ya Kanda ya Ziwa kusafiri usiku kwa kisingizio cha kuhofia majambazi.


Waziri Lugola ametoa kauli hiyo leo Jumapili Julai 7, 2019 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa vijiji vya Namibu na Mwibara wilayani Bunda mkoani Mara.


The post GOOD NEWS: Mabasi ya mikoani kusafiri saa 24, Kangi Lugola adai jeshi la polisi halitishwi na majambazi (+Video) appeared first on Bongo5.com.... Continue reading ->


Source: Bongo5Read More