Google kuendelea kushirikiana na Huawei wa siku 90 zijazo - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Google kuendelea kushirikiana na Huawei wa siku 90 zijazo

Huawei inapitia katika kipindi kigumu kuweza kufanya kazi hasa nchini Marekani kutokana na kuwepo kwa “Vuta nikuvute” kati ya nchi hizo mbili na tayari kampuni hiyo ya Uchina inafahamu ugumu inaoupitia ingawa Google wamesema wataendelea kushirikiana na Huawei katika kipindi cha miezi mitatu ijayo. Tunafahamu vyema kuwa Google ilitangaza kuacha kuacha kufanya kazi na Huawei [...]


The post Google kuendelea kushirikiana na Huawei wa siku 90 zijazo appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More