Google kukuambia kama password yako imedukuliwa! #Extensions - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Google kukuambia kama password yako imedukuliwa! #Extensions

Je utafahamu vipi kama password yako imedukuliwa? Inaweza ikawa ni kwenye tovuti ya mtandao wa kijamii au tovuti nyingine ya aina yeyote, kila mwaka udukuzi unaohusisha maelfu ya akaunti za mitandaoni hufanyika. Google wamekuja na extension ya kivinjari cha Chrome kwenye kompyuta ambacho kitakupa taarifa kama akaunti unayotaka kulogin kwa wakati husika imedukuliwa. Utumiaji wake; [...]


The post Google kukuambia kama password yako imedukuliwa! #Extensions appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More