Google wapigwa faini Ufaransa: Kulipa zaidi ya dola bilioni 1 za Kimarekani - Teknokona | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Google wapigwa faini Ufaransa: Kulipa zaidi ya dola bilioni 1 za Kimarekani

Wakati Marekani na Ufaransa wakifanya mazungumzo juu ya suala la kodi kwa makampuni ya biashara za kimtandaoni hasa hasa ya kimarekani tayari taarifa imetoka inayosema Google wamepigwa moja ya faini kubwa zaidi kuwahi kutolewa huko nchini Ufaransa. Ni miezi sasa tokea serikali ya Marekani ipandishe kiwango cha kodi dhidi ya vinywaji vya divai (wine) vya [...]


The post Google wapigwa faini Ufaransa: Kulipa zaidi ya dola bilioni 1 za Kimarekani appeared first on TeknoKona Teknolojia Tanzania.


Source: TeknokonaRead More