Gor Mahia iko kazi aisee! - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gor Mahia iko kazi aisee!

Kwa mujibu wa ratiba ya michuano ya mechi za mtoano ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho, iliyotolewa leo Ijumaa, Novemba 9, na Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF), ni kwamba watakutana na mabingwa soka nchini Malawi, Nyasa Big Bullets.


Source: MwanaspotiRead More