Gor Mahia yashudia Everton FC ikichakaza Brighton - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Gor Mahia yashudia Everton FC ikichakaza Brighton

Everton FC na Gor Mahia, zitakutana Novemba 6, mwaka huu kwa mara ya pili. Mara ya kwanza kukutana  Julai 13, Mwaka 2017, nchini Tanzania, ambapo Everton FC, ilishinda 2-1, wafungaji wakiwa ni Wayne Rooney na Kieran Dowell huku bao pekee la Kogalo likiwekwa wavuni na Jacques Tuyisenge.


Source: MwanaspotiRead More