Goti lamchelewesha Westbrook kambini - Mwanaspoti | PressTZ - Your Number 1 Source of Aggregated Online Content

 

Goti lamchelewesha Westbrook kambini

NYOTA na mlinzi matata kabisa wa ligi ya NBA wa Oklahoma City Thunder, Russell Westbrook atalazimika kusubiri kwa wiki mbili kabla ya kujiunga na kambi ya timu yake, baada ya kufanyiwa upasuaji wa goti la mguu wa kulia wiki hii.


Source: MwanaspotiRead More